ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema serikali imekuwa ikishirikian vema na sekta binafsi kuhakikisha inautangaza mchezo wa vishada na kuimarisha mfumo wa thamani wa mchezo huo.

Katibu Mkuu huyo amesema mashindano ya mwaka huu yataanza Februari 7.

Mashindano yatakayoanza ni ya #KaskaziCup2026 na baadae yatafanyika ya #KusiCup2026.

#Vishada #KitSurf

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *