Mazungumzo kuhusu amani ya Ukraine yakamilika huko Abu Dhabi. Wajumbe wa Marekani na Iran wajiandaa kuzungumza kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran mjini Muscat, Oman. Na Rais wa Rwanda Paul Kagame ahimiza nchi yake kujitegemea, huku wito wa vikwazo vya Marekani ukiongezeka.