AZAM FC vs AS MANIEMA: Kocha mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema amewaelekeza wachezaji kucheza kwa kujiamini kwa kuwa wamejiandaa vema. Ibenge amesema watacheza kama Azam na hivyo mchezo utakuwa wa burudani huku wakizisaka alama tatu muhimu.
Naye mchezaji wa klabu hiyo Sadio Kanoute amesema watatekeleza yale wanayoelekezwa kuhakikisha wanashinda kila mchezo.
#CAFCC#Kombe la Shirikisho Afrika #