AZAM FC vs AS MANIEMA: Kocha wa klabu ya AS Maniema, Papy Kimoto Okitankoyi amesema wanatambua Azam ni timu bora hasa ikiwa nyumbani lakini wamekuja na lengo kuu la kuzitafuta alama.
Naye mchezaji wa klabu hiyo, Charve Onoya amesema wanajua nyakati hizi zipo na wapo tayari kwa mchezo.
#CAFCC#Kombe la Shirikisho Afrika #