AZAM FC vs AS MANIEMA UNION: Nyota wa Azam FC, Himid Mao Mkami awaita Watanzania bara na visiwani kuujaza uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya AS Maniema Union.
Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports3HD
#CAFCC #AzamFC