AZAM FC vs MANIEMA UNION: Nyota wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ awaita Watanzania kuujaza uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kwa ajili ya mchezo wao wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya AS Maniema Union.
Mechi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports3HD
#CAFCC #AzamFC