Baraza la Mazingira nchini (NEMC) limesema linaendelea kushirikiana na Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa ajili ya upangaji mzuri wa na utambuzi wa maeneo kwa lengo la kutunza mazingira hususani kwenye maeneo ya uzalishaji mali.

✍ Sheila Mkumba.
Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *