#CAFCL | Wabishi wa Sudan wamechapika ugenini na kufanya Kundi C kuwa gumu zaidi.
FT: MC Alger 2-1 Al Hilal.
Msimamo baada ya mechi tano kwa wawili hao ni Hilal nafasi ya kwanza alama 8, Alger nafasi ya pili alama saba huku Mamelodi Sundowns alama 5 na Saint Eloi Lupopo alama nne wakisubiriwa kesho kutafuta pointi tatu muhimu.
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika