#HABARI: Mbunge wa Tunduru Kaskazini Mheshimiwa Ado Shaibu Ado amesema kwamba Tanzania inapaswa kurejesha utamaduni wa siasa safi ambapo wanasiasa wa itikadi tofauti wanaweza kupingana bila kuumizana na kukosoana bila kuumizana.

Mheshimiwa Ado ameyasema hayo akichangia Mipango ya Serikali (Muda Mrefu, Kati na Mfupi) iliyowasilishwa na Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo.

Ado amesema kuwa licha ya kufahamiana na Profesa Mkumbo, wajibu wake sio kujikita katika kumsifia bali ni kutoa hoja za kuboresha mipango hiyo ili kuhakikisha maslahi ya Watanzania yanalindwa.
Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *