Huyu ni Abdulkarim Mahadhi, kijana aliyebuni mashine ya mazoezi isiyotumia umeme. Amesema ubunifu wake wa kutengeneza mashine hiyo umetokana na changamoto alizoziona katika matumizi ya mashine za kisasa, hususan gharama kubwa za ununuzi na matengenezo.
#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi