KUTOKA MOROCCO: Meneja habari na mawasiliano wa Yanga SC amefunguka sababu za nyota wao mpya Buba Jammeh kutokuungana na timu nchini Morocco.

Kamwe ametoa ratiba ya mchezaji huyo namna atakavyofika Dar es Salaam kuungana na timu itakaporejea.

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *