Mahakama Kuu Zanzibar imezuia uharibifu wa vifaa vilivyotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025.

Uamuzi huo unafuatia maombi ya zuio yaliyowasilishwa mahamani hapo na wagombea 17 wa Chama ACT Wazalendo.

Mapema wiki hii Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar ilitangaza kuteketeza nyaraka zote zilizotumia katika uchaguzi huo kama Sheria ya Uchaguzi inavyoelekeza baada ya miezi mitatu kukamilika inawapasa kuanya hivyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *