Mchambuzi wa masuala ya kimataifa, Ibrahim Rahbi amedai kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amejikuta akiingia kwenye migogoro na washirika wake wa kisiasa kutokana na kwenda kinyume na sera ya amani aliyoiwasilisha wakati anaingia madarakani katika awamu yake ya pili.
Rahbi anaeleza kuwa hali hiyo imesababisha sintofahamu ndani ya chama chake na kuwafanya baadhi ya wafuasi wake kudai aondoke madarakani, wakimtuhumu kuchochea migogoro ya kisiasa na kijamii nchini humo.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi