Mkuu wa wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuph amevitaka vikundi 24 vilivyopokea mikopo ya asilimia 10 kutoka halmashauri kutumia fedha za mkopo katika kujikwamua biashara zao na shughuli za ujasiriamali sambamba na kufanya marejesha kwa wakati.

Vikundi hiyo vilivyogawanyika katika makundi ya vijana, wanawake na wenie mahataji maalumu vimepokea jumla ya Shilingi Milioni 190.

Taarifa zaidi na Mwanaidi Waziri.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *