NBCPL: “Kwa nini tunaruhusu magoli kipindi cha pili”
Kocha msaidizi wa Coastal Union, Joseph Lazaro anasema mwenendo walionao na fikra zilizopo kwa wachezaji, wanaweza kujikuta wanapoteza mechi zote.
Kocha huyo amezungumza leo baada ya kupoteza kwa jumla ya magoli 3-0 dhidi ya Pamba Jiji
Pamba Jiji 3-0 Coastal Union
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #PambaJijiVsCoastalUnion #CoastalUnion #PambaJiji