Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dk Tausi Mbaga Kida kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango.

Aidha, Rais Samia amemteua Dkt Fred Matola Msemwa kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais – Uwekezaji.

#StarTvUpdate

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *