Sekta ya Utalii inakuwa kwa kasi nchini ambapo kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Wizara ya Maliasili na Utalii inasema idadi ya Watalii wa kimataifa imefikia 2,097,823 kati ya Januari hadi November 2025 sawa na ongezeko la takribani asilimia 9.02 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka 2024.
Mwandishi wetu Nelson Munema amefanya mahojiano maalumu na ZAINABU ANSELL ,Maaufu Mama Zara ambaye imehuduma katika sekta ya Utalii nchini kwa Miaka 40.
(Feed generated with FetchRSS)