Wakulima wengi nchini Tanzania wanakabiliana na changamoto ya kutumia teknolojia ya kisasa katika kilimo, jambo linalosababisha uzalishaji mdogo na kupoteza fursa za kibiashara.

Mkurugenzi wa TUKUTECH Company anasema changamoto hii inatokana na baadhi ya wakulima kushindwa kuamiani haraka na kujaribu vifaa vipya vya kilimo.

AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *