YANGA SC vs AS FAR: “Cha kwanza ni kujilinda…”
Mchambuzi wa soka, @lilianmukulu_ amesema jambo muhimu katika mchezo wa kesho Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kwa Yanga SC watakapokuwa wanacheza dhidi ya AS FAR wanapaswa kujilinda zaidi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kupata alama katika mchezo huo.

Mukulu amesema AS FAR ni timu bora hivyo Yanga inatakiwa wacheze kwa tahadhari kutokana na umuhimu wa mchezo katika kutafuta nafasi ya kufuzu hatua inayofuata ya michuano hiyo.

Mechi itapigwa kesho saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania na itakuwa LIVE #AzamSports2HD

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *