ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: ‘Pepe’ anafunguka namna alivyojipanga kuelekea kwenye mashindano ya #Vishada, changamoto ndogondogo zilikuwa ni upepo tu.
Uhondo unaanza kesho Februari 7.
Mashindano yatakayoanza ni ya #KaskaziCup2026 na baadae yatafanyika ya #KusiCup2026.
#Vishada #KitSurf