ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Seif Shaban Seif anasema mwaka jana ‘alitisha’ sana kwenye mashindano ya #Vishada, changamoto ndogondogo zilikuwa ni upepo tu.

Uhondo unaanza kesho Februari 7.

Mashindano yatakayoanza ni ya #KaskaziCup2026 na baadae yatafanyika ya #KusiCup2026.

#Vishada #KitSurf

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *