Benki Kuu ya Kenya (CBK) imezuia matumizi mabaya ya fedha za noti, ikiwemo kuzikunja na kuzitumia kama mapambo mbalimbali.

Benki hiyo imesema tabia hiyo husababisha noti kuchakaa haraka na kulazimika kuondolewa mapema katika mzunguko wa matumizi, hali inayosababisha gharama kubwa za uchakataji na uchapishaji wa noti mpya.

#AzamTVUpdates
✍Halima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *