CAFCC: Kocha wa Singida BS, Othmen Najjar amesema wanatakiwa kuweka mazingatio kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya CR Belouizdad ili kuendelea kuweka hai safari yao ya kusonga mbele hatua ya robo fainali.
Kwa upande wake mchezaji Moris Chukwu anasema kila kitu kinawezekana kwenye kundi lao na wapo Zanzibar kwa ajili ya kuvuna alama tatu ili waweze kuwa na alama saba.
Mechi ni kesho saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #CAFConfederationCup