DODOMA JIJI vs KMC: “Mchezo wa ufundi zaidi”
Kocha wa KMC, Mohamed Abdallah ‘Bares’ amesema kesho kutakuwa na mchezo mzuri huku akisifu ubora wa Dodoma Jiji.

Kwa upande wake mchezaji Jammy Simba anasema watapambana kuirejesha KMC iliyozoeleka.

Ni mchezo wa NBC Premier League ambao utapigwa katika dimba la Jamhuri Dodoma, saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *