DODOMA JIJI vs KMC: “Tutamkosa mchezaji mmoja ambaye ni Ally Salim”
Kocha wa Dodoma Jiji, Aman Josiah ameonesha kusikitika kwa kumkosa golikipa wake Ally Salim ambaye alipata changamoto kwenye mechi dhidi ya Mbeya City japo anasema wapo wachezaji wengine ambao wataziba pengo hilo.

Kwa upane wake mchezaji Elias Maguli anasema mechi ya kesho dhidi ya KMC, itakuwa ngumu kwasababu wapinzani wao hao wamepata matokeo katika mchezo uliopita na hiyo itawaongezea ari.

Ni mchezo wa NBC Premier League ambao utapigwa katika dimba la Jamhuri Dodoma, saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *