#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Patrobas Katambi, amesema serikali itaweka mifumo ya kudhibiti uhalifu katika maeneo ya biashara,makazi na mashambani ili kuweza kudhibiti matendo ya uhalifu ikiwemo kupambana na tabia za kijinai.

Ametoa kauli hiyo wakati wa Mkutano na Uongozi wa juu wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ambapo pia alipata fursa za kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika hilo ikiwemo ulinzi,usafirishaji wa vitu vya thamani ikiwemo fedha na ukaguzi wa magari.

Akizungumza katika mkutano huo Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohamed Mahmoud, amesema kwa kuwa Shirika hilo linafanya pia masuala ya ukaguzi wa magari basi ni muhimu huku akigusia ajali za barabarani zinavyoweza Kudhibitiwa.

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *