KUTOKA ANGOLA: Mwandishi wa habari za michezo wa nchini Angola azungumzia yale yanayosemwa na wapenda soka kuelekea mechi ya leo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Petro Atletico dhidi ya Simba SC.
Mechi ni saa 1:00 usiku na itakuwa LIVE #AzamSports2HD
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #CAFChampionsLeague