KUTOKA ANGOLA: Unafahamu kuwa Estadio 11 de Novembro ndio uwanja ambao Lionel Messi ‘aliutwanga’ hapo akiwa na kikosi cha Argentina….?
Unafahamu kuwa Simba SC sio mgeni kukipiga katika dimba hilo…??
@mangasore_ anasimulia zaidi kutoka ndani ya dimba hilo lililopo Luanda Angola.
Simba itakuwa ugenini leo kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji wao Petro Atletico saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #CAFChampionsLeague