KUTOKA MOROCCO: “Ni mchezo muhimu sana kwetu”
Nahodha msaidizi wa Yanga SC, Dickson Job anasema wanahitaji kuwa bora zaidi leo ili kuweza kupata matokeo mazuri dhidi ya AS FAR katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).

Job alizungumza jana usiku na mwandishi wa #AzamTV Mohamed Mohamed baada ya kufanya mazoezi ya mwisho.

Mechi ni leo saa 4:00 usiku LIVE #AzamSports2HD

#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *