#NBCPL: TRA walianza kwa kulimwa kadi nyekundu kupitia mchezaji Omary Yusuf na baadae Adily Buha akafunga goli la kwanza kwa penati na baadae Said Naushad akaweka la pili.
FT: TRA United 0-2 Mbeya City
Hewani muda Mtibwa Sugar dhidi ya Namungo FC, LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #RRAUnitedVsMbeyaCity #TRAUnited #MbeyaCity