Rais Dokta Samia Suluhu Hassan amebainisha kuwa meli ya kwanza ya usafirishaji wa mafuta kupitia mradi wa bomba la mafuta ghafi wa EACOP inatarajiwa kuanza Julai mwaka huu.

Dkt. Samia ameyasema hayo leo Februari 7, 2026 alipokuzungumza na waandishi wa habari akiwa na mgeni wake Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *