Serikali imewataka vijana 200 waliopata fursa za ajira nje ya nchi kuwa mabalozi wa Taifa kwa kuzingatia nidhamu, uadilifu na tamaduni katika nchi wanazokwenda, ili kulinda heshima ya Tanzania.
Wito huo umetolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Kisuo, leo Februari 7, 2026 alipokuwa akiwaaga viajan hao katika ukumbi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), jijini Dar es Salaam.
Mhariri @moseskwindi