Wananchi wa Mtaa wa Kisiwa cha Fokoland, Kata ya Yombo Vituka, Manispaa ya Temeke, wamejichanga na kujenga barabara ya zege kwa lengo la kutatua kero ya muda mrefu ya miundombinu, ili kurahisisha usafiri na kuongeza usalama wa wananchi.
(Feed generated with FetchRSS)