Wananchi Yanga SC, wapo mzigoni nchini Morocco, leo saa 4:00 usiku wapo dimba la CSPMA wakikipiga na AS FAR, mechi ya marudiano Ligi ya mabingwa Afrika.
Katika mchezo wa kwanza Wananchi walipata ushindi.
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
#Yangasc #ASFAR #Azamtvsports #CAFCL