Watu wawili wameripotiwa kufariki dunia kufuatia ajali ya gari la kampuni ya Mining Nice lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Masasi mkoani Mtwara, baada ya kugonga lori la mizigo lililokuwa limeharibika barabarani katika eneo la Mtange, Manispaa ya Lindi Leo majira ya saa kumi na mbili alfajiri.
(Feed generated with FetchRSS)