Wikiendi ya moto wa soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV leo Jumamosi
Saa 1:00 usiku Mnyama SC na AzamFC watakuwa dimbani.
Mnyama Simba SC atakuwa ugenini nchini Angola akikipiga na Petro Atletico mechi ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
AzamFC watakuwa dimba la New Amaan Complex, Zanzibar akicheza na AS Maniema
Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports3HD.
Saa 4:00 usiku, Wananchi Yanga SC watakuwa dimba la CSPMA nchini Morocco wakikipiga na FAR Rabat
Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.
Katika NBC Premier League
Saa 10:00 jioni, TRA united watakuwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakicheza na Mbeya City
Saa 1:00 usiku, Mtibwa Sugar watakuwa uwanja wa Jamhuri wakicheza na Namungo FC
Michezo hii kuruka LIVE kupitia AzamSports1HD.
Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama burudani hii.
#SisiNiSoka #Azamtvsports #CAFCL #CAFCC