JKT TANZANIA vs MASHUJAA FC: “Tuna mchezo mgumu tena na muhimu kwenye idara zote…”
Kocha wa timu ya JKT Tanzania Ahmad Ally, amesema mchezo wao dhidi ya Mashujaa ni mgumu kutokana na ubora wa kikosi cha timu hiyo, lakini watatumia kila nafasi watakayopata kujipatia ushindi.
Kwa upande wa mchezji wa klabu hiyo Jafari Maneno amesema kila mchezaji ana morali na hali nzuri tayari kuzipambania alama tatu muhimu.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #JKT TanzaniaVsMashujaa #JKT Tanzania #Mashujaa