ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Steffano Conte anaomba radhi kwa wadau wote wa mchezo wa #Vishada kwa mashindano hayo kushindwa kuanza jana Februari 7, kutokana na changamoto ya upepo.
Uhondo sasa utaanza rasmi kesho Februari 9, 2026 visiwani Zanzibar na utaupata LIVE kupitia kisimbuzi chako cha #AzamTV
#KusiCup2026