AZAM FC: Afisa Habari wa Azam FC, @hasheem_ibwe ataja ratiba ya timu hiyo kuelekea nchini Morocco kuifuata Wydad AC.

Ibwe amesema timu ya utangulizi itaondoka Februari 10 na wengine wataondoka Februari 12.

Kocha Florent Ibenge apiga simu katikati ya mahojiano, Ibwe asema hataki kuwatisha watu.

Azam FC ipo kundi “B” kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa pamoja na Wydad AC, Nairobi Union na AS Maniema Union.

#CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *