DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: “CRDB Bank Federation Cup ni shindano la hadhi ya kitaifa”
Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto anasema michuano ya CRDB Bank Federation Cup, ni mashindano ambayo yanahusisha timu kutoka ngazi mbalimbali na mwisho wa siku mshindi anashiriki Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
Droo ya michuano hiyo hatua ya 64 bora imefanyika leo ndani ya studio za #AzamTV
Droo ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#CRDBBankFederationCup