DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto tayari yupo ndani ya studio za #AzamTV kwa ajili ya kuendesha droo ya mashindano ya CRDB Bank Federation Cup.
Pamoja naye ni wachezaji wa zamani wa soka Maalim Saleh na George Lucas.
Hii ni droo ya 64 bora na itakuwa LIVE #AzamSports1HD muda sio mrefu kuanzia sasa.
#CRDBBankFederationCup