MASHABIKI AZAM FC: “Tunakwenda kumuua Wydad, tupo zetu robo fainali”
Mashabiki Azam FC hawana wasiwasi juu ya timu yao kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).

Shabiki mwingine wa Azam FC anasema alama walizonazo Simba na Yanga, ukizichanganya, hazifikii za timu yao.

Simba ina alama mbili, Yanga ina alama tano kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).

Azam FC ina alama tisa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#AzamFC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *