MASHABIKI SIMBA: “Alikuwa amechelewa kuja Simba”
Mashabiki wa Simba waonesha kukoshwa na viwango vya wachezaji wao wapya waliowasajili katika kipindi cha dirisha dogo.
Mashabiki hao wanasema wanamsubiri kwa hamu nyota wao Inno Loemba kumuona katika mechi za NBC Premier League.
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#SimbaSC