MKUTANO MKUU CAF KUFANYIKA TANZANIA: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kufanyika kwa Mkutano Mkuu wa CAF, katika ardhi ya Tanzania, itasaidia kupata ushirikiano kati ya watendaji wa shirikisho hilo na watendaji wa Tanzania.

Makonda pia amebainisha kuwa serikali imebeba dhamana ya kumlipa Kocha Miguel Gamondi na sasa kinachosubiriwa ni kusainiwa kwa mikataba tu.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Makonda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *