MSHIKEMSHIKE: Yanga baada ya kupoteza dhidi ya AS FAR ugenini, matumaini pekee ni ushindi kwenye mchezo wa mwisho dhidi ya JS Kabylie, unaionaje nafasi ya wananchi kufuzu robo fainali ya ligi ya mabingwa msimu huu?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike