mtengeneza maudhui ya mitandao ya kijamii wa Kenya na mchambuzi wa masuala ya kisiasa anayefahamika kwa kuunga mkono viongozi mbalimbali wa Afrika Mashariki @cassypoolcapon amesema hawezi kubadili mawazo wala mtazamo wake kuhusu mapenzi aliyo nayo kwa Rais wa Tanzania @samia_suluhu_hassan
(Feed generated with FetchRSS)