Mtu anayeugua ugonjwa wa kifafa anapokutwa na hali ya shambulio ni muhimu apatiwe huduma ya kwanza haraka kinyume na mazoea ya baadhi ya watu kuwaogopa na kuwakimbia.

Namna bora zaidi inaelezwa na Daktari Bingww wa Magonjwa ya Ubongo na Mishipa ya Fahamu, Dkt. Henrika Kimambo kutoka MNH – MLOGANZILA

✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @moseskwindi

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *