#NBPL: Ilitokea piga nikupige flani hivi kabla ya Laurian Makame kuukwamisha mpira nyavuni akiiandikia JKT goli lenye hadhi ya alama tatu.
FT: JKT Tanzania 1-0 Mashujaa FC
Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi
#JKTTanzaniavsMashujaa #JKTanzania #Mashujaa