PAMBA JIJI vs NAMUNGO FC: “Wachezaji ni wale wale mbinu itakuwa tofauti…”
Kocha wa Pamba Jiji Francis Baraza, amesema anatambua ubora wa Namungo FC lakini kama wachezaji watazingatia yale waliyofanyia kazi katika uwanja wa mazoezi ana ujasiri wa kusema atapata alama tatu.

Ni kuelekea mchezo wa NBC Premier League ambao utapigwa kesho saa 10:15 jioni LIVE #AzamSports1HD

Imeandikwa na Katherini Shirima
Mhariri: @allymufti_tz

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi
#PambaJijivsNamungo #PambaJiji #Namungo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *