Shule ya Msingi Mkwajuni iliyolazimika kuathiri ratiba za masomo kwa wanafunzi wake baada ya baadhi ya madarasa kuezuliwa paa kufuatia upepo mkali imepatiwa Shililingi Milioni 96 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya manne na ofisi ya walimu.
Omari Mikoma ana taarifa zaidi.
Mhariri @moseskwindi